SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Bruno Martins full back
Bruno Martins Indi (Rolando Maximilian) ni Mreno aliyezaliwa Holland anakipiga Fayenoord
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bruno Martins full back
Za siku mkuu?
Umeona udhalilishaji huo?
Me sitaki Mapressure kama ya leo.
Team langu ni lile analochezea yule Kijana Mfupi Mfupi hivi.
Argentina!!!!! Basiii....
Na Mwaka huu wake.
Sitaki unionee huruma.
Mkuu Ni nzuri tu!
Yote Haya Ni kutokana NA kuvuruga kwa misimu miwili kwa Fc Barcelona maana Barcelona ilikua NA mchango mkubwa sn kwa timu Yao ya taifa!
Wachezaji wamezeeka Hakuna mbadala basi Ni kupigwa tu!
Okay back to Chile vs Australia ....Spain is gone na midebwedo yake. Tugange yajayo. Nani ni Chile tujitambue mapeeemaaaa mambo ya kuibuka Kama dengue inahuuuuu. Tangaza nia mapema
Okay back to Chile
vs Australia ....Spain is gone na midebwedo yake. Tugange yajayo. Nani
ni Chile tujitambue mapeeemaaaa mambo ya kuibuka Kama dengue inahuuuuu.
Tangaza nia mapema
Dah hizi nyimbo za taifa za nchi nyingine utadhani watoto wa darasa la kwanza wanajifunza a,e,i,o,u . Mmeusikiliza wimbo wa taifa wa Chile ulivyo?
Isee kufungwa kubaya sana.Vishabiki vya holland vinafiki...villi kuwa kimyaaaaa vimejificha chimboni Kama michepuko vile kabla holland haijafunga. heeee baada ya holland kufunga vikaibuka Kama dengue from no where kila mtu holland holland....mhh vishabiki maandazi hehehehehe
Dah hizi nyimbo za taifa za
nchi nyingine utadhani watoto wa darasa la kwanza wanajifunza a,e,i,o,u
. Mmeusikiliza wimbo wa taifa wa Chile ulivyo?
Mpira uko damuni...ungejua Hali yangu usingeamini kwamba nimekaa naangalia mpira ila Ndio hivyo wengine pome hatunywi, hatuchepuki ila ball Ndio starehe yetuMrembo kweli ww ni sports lady! na game ya chile waiangalia?!
mi mwenyewe timu langu ni brazil ila nimeshtuka mpira uliochezwa na hawa majamaa wa leo
Hapa tutakutana mkuu...team Lionel Messi
Ndo hivyo Mkuu.
Na nangoja kwa hamu kumuangalia Kijana Wang!!! Basiii...
Mpira uko
damuni...ungejua Hali yangu usingeamini kwamba nimekaa naangalia mpira
ila Ndio hivyo wengine pome hatunywi, hatuchepuki ila ball Ndio starehe
yetu
Ngoja niwangalie Chile kama wataweza kuendeleza alipoishia Holland kwa Spain