World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Akija Liverpool kwa BR apigwe msasa afunge mabao mengi!Kwenye 100+ tutakayofunga msimu huu hawezi kosa angalau bao 20 lkn akienda Arsenal na bao zao 45 msimu ujao hapo atafunga sana sana bao 2 tu

Mkuu naona unamtolea mate striker wetu, bahati mbaya jamaa kashasema haendi popote bali Emirates.
 
Akija Liverpool kwa BR apigwe msasa afunge mabao mengi!Kwenye 100+ tutakayofunga msimu huu hawezi kosa angalau bao 20 lkn akienda Arsenal na bao zao 45 msimu ujao hapo atafunga sana sana bao 2 tu

Haha mkuu ınaonekan huıpendı arsenal ee
 
Ruiz huyu hawa Fulham walimpeleka kwa mkopo Holland wakamuacha Sidewell,utu mbo mtupu Fulham
 
Kwelı Davıdo kapata leo au nenda celebrıty forum mkuu!!

Mkuu BET Awards HAIJAANZA,baadhi ya wasanii ndiyo wanawasili
ukumbuni ,sasa how kapata kwenye awards ambayo bado haijaanza?Picha za kuchongwa hizo
 
Arjen Robben admitted trying to con the referee in Holland's 2-1 victory over Mexico.

Robben goes over and the Portuguese referee awards a penalty deep into injury time

The guy is a cone!

Duh ..goli laini .. siyo lazima kufumua mashuti bila kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…