World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

watu wengi sehemu mbalimbali duniani wanauliza kama inawezekana cooling break dk 2 kwanini isiwezekane replay yz sekundi 30 sehemu ambayo refa na vibendera hawa uhakika na kilichotokea?

cooling si sawa na replay kwa kweli..
 
watu wengi sehemu mbalimbali duniani wanauliza kama inawezekana cooling break dk 2 kwanini isiwezekane replay yz sekundi 30 sehemu ambayo refa na vibendera hawa uhakika na kilichotokea?
cooling ni kwa wc hii ya brazil tu haiwezi kuwepo kwenye utaratibu, sababu brazil kipindi hichi ni joto na wachezaji wa ulaya hawawezi mudu.
 
Ugiriki imeshacheza mechi tisa katika kombe la dunia na kufanikiwa kushinda mara mbili tu, dhidi ya timu zenye migogoro ya posho, Nigeria(2010) na Ivory Coast kwa kutoa dozi sawa za 2-1.
 
cooling si sawa na replay kwa kweli..

michezo mingine kama rugby, cricket na tennis kuna decision time kupata usahihi wa maamuzibado michezo ni mizuri tu kwanini mpira watu hawataki au ndiyo kupanga matokeo muda mwingine?
 
Ugiriki imeshacheza mechi tisa katika kombe la dunia na kufanikiwa kushinda mara mbili tu, dhidi ya timu zenye migogoro ya posho, Nigeria(2010) na Ivory Coast kwa kutoa dozi sawa za 2-1.

hawa wagiriki kiboko wao posho zao zote wamesema zitumike kujengea football training center nyumbani
 
Kilichotekea tokea leo dhidi ya mexico na uholanzi kwakupewa penalt imeigarimu sna mexico refa angepeta tu.
 
hawa wagiriki kiboko wao posho zao zote wamesema zitumike kujengea football training center nyumbani
Ni posho ya ziada... Ila wanastahili hongera kwa uzalendo wao!

Aidha kwa game ya leo ndio mwisho wao na hii itawapa nafasi nzuri ya kusimamia ujenzi wa training center yao...

#TeamCostaRica
 
Dah!kuna haja ya uimbaji kuwa sehemu ya mazoezi ya wachezaji wa taifa.wanaimba flat kweli aisee hizi national anthem!
 
michezo mingine kama rugby, cricket na tennis kuna decision time kupata usahihi wa maamuzibado michezo ni mizuri tu kwanini mpira watu hawataki au ndiyo kupanga matokeo muda mwingine?

Mpira wa miguu ni kama wa malayman,maskini tu,huitaji kuwa na certificate au diploma ya kuwa bora,just place the ball behind the net,wakianza hivi utakosa raha,mambo yatakuwa mengi,unaijua cricket wewe??
 
Msisahau kumshangilia Diamond kwenye BET Awards masaa 2 toka sasa tafadhali!Ni kijana wetu huyu tumuunge mkono
 
Back
Top Bottom