rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Pale United Wenger anamtaka Cleverley
huyo hata kazi ya kuokota mipira hatoweza kuipata Emirates.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale United Wenger anamtaka Cleverley
Hujakosea kabisa timu ya kina DonDonald haina jipya
huwa sifanyi score cast hata siku moja kwenye bet zangu.
Ebana yule Rodriguez wa Colombia inaonyesha anaweza kuja kuwa mchezaji mzuri sana .
Ila wahisi nani anashinda leo
WorldCup hii nzuri sana mengi yanatokea from Van Parsie kichwa kile japo tumekuja kujuwa Kumbe Van Parsie kajifunza kupiga kichwa kile kwa Arsene Wenger tulimuona Beach Ball to Colombia goli la Rodriguez na Colombia nzima kali. Chile na Brazil game nzuri tumeona mtu anangatwa Leo tumeona Cooling break nini jengine mliona WorldCup ??? kipa wa Mexico?? Mpaka sasa ni #TeamColombia .
Leo Costarica mshindi jamani tuache chuki hapa Huyu Mgiriki alisababisha ICost itolewe
,,bora ingeingia ZANZIBAR,,,peke yake,, kaongeza na hili "ulain lain
Costa Rica
Hizo chuki nyingine,na mimi itabidi niishabikie tu icost
Ebana yule Rodriguez wa Colombia inaonyesha anaweza kuja kuwa mchezaji mzuri sana .
Wakuu hii cooling break mnaionaje??mi naona imekaa vibaya,kwanza inapunguza morali kabisa..kama ikipita football is doomed,itakuwa kama basketball.
Hata mimi tena nataka hawa watu wafungwe nyingi kwani hawakututendea haki siku ile
Yaani leo silali ili tu huyu mgiriki apigwe nyingi tena kipindi cha kwanza
ndio hivyo mkuu kama ile penati ya greek kwa ivory coastile gamu ni kama ya leo yaaani penati za dakika za majeruhi zinauma sana
watu wengi sehemu mbalimbali duniani wanauliza kama inawezekana cooling break dk 2 kwanini isiwezekane replay yz sekundi 30 sehemu ambayo refa na vibendera hawa uhakika na kilichotokea?
Inaondoa morale,relief kwa waliozidiwa,ukiangalia first half walivoenda hiyo c/b nederlnd walipata relief,vile vile kwa kipindi cha pili kwa mexico,yaani ikienda hivi ntaanza kujifunza namna cricket inavyochezwa,nishangilie.
Inaondoa morale,relief kwa waliozidiwa,ukiangalia first half walivoenda hiyo c/b nederlnd walipata relief,vile vile kwa kipindi cha pili kwa mexico,yaani ikienda hivi ntaanza kujifunza namna cricket inavyochezwa,nishangilie.