World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

siku hizi hakuna watangazaji wa mpira wamebaki wapiga porojo tu kama unavyowasikia
 
WorldCup hii nzuri sana mengi yanatokea from Van Parsie kichwa kile japo tumekuja kujuwa Kumbe Van Parsie kajifunza kupiga kichwa kile kwa Arsene Wenger tulimuona Beach Ball to Colombia goli la Rodriguez na Colombia nzima kali. Chile na Brazil game nzuri tumeona mtu anangatwa Leo tumeona Cooling break nini jengine mliona WorldCup ??? kipa wa Mexico?? Mpaka sasa ni #TeamColombia .

Matokeo yasiyotegemewa na wengi!
 
Leo Costarica mshindi jamani tuache chuki hapa Huyu Mgiriki alisababisha ICost itolewe
 
Wakuu hii cooling break mnaionaje??mi naona imekaa vibaya,kwanza inapunguza morali kabisa..kama ikipita football is doomed,itakuwa kama basketball.
 
watu wengi sehemu mbalimbali duniani wanauliza kama inawezekana cooling break dk 2 kwanini isiwezekane replay yz sekundi 30 sehemu ambayo refa na vibendera hawa uhakika na kilichotokea?
 
Hata mimi tena nataka hawa watu wafungwe nyingi kwani hawakututendea haki siku ile

Yaani leo silali ili tu huyu mgiriki apigwe nyingi tena kipindi cha kwanza

ile gamu ni kama ya leo yaaani penati za dakika za majeruhi zinauma sana
 
watu wengi sehemu mbalimbali duniani wanauliza kama inawezekana cooling break dk 2 kwanini isiwezekane replay yz sekundi 30 sehemu ambayo refa na vibendera hawa uhakika na kilichotokea?

Inaondoa morale,relief kwa waliozidiwa,ukiangalia first half walivoenda hiyo c/b nederlnd walipata relief,vile vile kwa kipindi cha pili kwa mexico,yaani ikienda hivi ntaanza kujifunza namna cricket inavyochezwa,nishangilie.
 
hahahahahaaha
 
haa haaa thubutu yako.
 
Back
Top Bottom