Kwelı Davıdo kapata leo au nenda celebrıty forum mkuu!!
Ngapi ngapi jamani...?
Bryan Ruiz...!
Ka' banana chop...Duh ..goli laini .. siyo lazima kufumua mashuti bila kufikiri.
Kuna Red card hapa...Nalala,angalau nishajua nani kaaga
Refa kampa yellow ya pili... Ndoto za dogo zinaweza kuwa zimekwisha. Come on #TeamCostaRica okoeni jahazi.