Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora nipo likizo kwa msimu wote wa WCmambo ya kulala masaa matatu sababu ya mpira,Soccer ni balaaa
Costarica hawawezi stahimili dakika 30 bila kufungwa!!Wametoka tayari hawa
Oh oh! Navas, kipa wa Chile kaumia! Mbona itakuwa balaa akishindwa kuendelea!!
mpira mara nyingine unashinda kama una bahati
kweli halafu mpira ukishafika kwenye hatua za mtoano unakuwa hautabiriki kabisa. ila costa rica wamejitahidiNikweli. Ila nilijua mpira wa leo kwa Costa Rica utakuwa mgumu sana kwakuwa Greece tabia yake ni kupaki basi kiaina na kushtikiza mashambulizi na ndio maana mpaka sasa C. Rica on target shot wanayo 1 tu na ndio goli lenyewe.
namuona Paulo Wanchope anawahamasisha vijana wa Costa Rica.
Huyo jamaa yupo kwenye benchi la ufundi wa Costa Rica?