World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mambo ya kulala masaa matatu sababu ya mpira,Soccer ni balaaa
 
Costarica hawawezi stahimili dakika 30 bila kufungwa!!Wametoka tayari hawa
 
Costa Rica wanaonekana wamechoka kinoma, upungufu wa mchezaji mmoja unawaathiri sana.
 
Costa Rica hawawezi kuwa wanafukuza mipira kwa dakika 30 zote bila kutunguliwa.
 
Greece ndio itakuwa timu ya 1 kuingia quarter final ikiwa ni timu iliyoshika nafasi ya 2 katika kundi lake.
Zote mpaka sasa zilizo ingia zilikuwa za kwanza katika makundi yao.
 
mpira mara nyingine unashinda kama una bahati

Nikweli. Ila nilijua mpira wa leo kwa Costa Rica utakuwa mgumu sana kwakuwa Greece tabia yake ni kupaki basi kiaina na kushtikiza mashambulizi na ndio maana mpaka sasa C. Rica on target shot wanayo 1 tu na ndio goli lenyewe.
 
kweli halafu mpira ukishafika kwenye hatua za mtoano unakuwa hautabiriki kabisa. ila costa rica wamejitahidi
 
namuona Paulo Wanchope anawahamasisha vijana wa Costa Rica.
 
LOL Costa Rica wanajaribu kupoteza kila dakika wanayoweza, wanasahau dakika zinaongezwagwa mwishoni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…