World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamaa wa kwanza wa Costa Rica ana kitete kinoma, atapaisha huyu.
 
Muda wa kutosahauliwa pindi ukosapo penati ya ushindi, kila mtu anamkumbuka Baggio kukosa penati ya mwisho, lakini hatukumbuki aliyefunga penati ya mwisho ya Brazil 1994


Kweli kabisa lol ninakumbuka Baggio alikosa tuu.... timu yeyote hapa inaweza kushinda
 
Predictions??????? Naona Wagiriki wanaonekana kama wana uhakika na kipa wao kuzuia penati, tusubiri tuone isije ikawa kama England vs Argentina 1998 all over again.
ugiriki wanashinda
 
Timu zote zinapiga madongo ya nguvu hakuna cha kumchagua kipa... Campbell ndo make a bad history please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…