World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mpaka sasa timu zote zilizoongoza makundi ndio zimeingia Robo Fainali.
 
Ingekuwa siyo haki kama hiyo timu mbovu ya Greece isingeondolewa
 
Afadhali Wagiriki wametolewa, walitegemea watabebwa kama vs Ivory Coast...
 
Reactions: BAK
Halali yao Costa Rica kupita, Greece wamepewa nafasi wameshindwa kuitumia
 
Reactions: BAK
Jinsi timu nyingi za Ulaya zilivyochemsha muda si mrefu wazungu wataanza kudai Kombe la Dunia is not fun anymore. Mwaka huu ni wa #TeamUnderdogs , wazungu warudi kwao. Noma itakuwa pale timu ya Central America plus USA itakapobeba Kombe la Dunia kabla ya nchi yoyote ya Afrika.
 
Hongereni sana #TeamCostaRica shughuli ilikuwa pevu, pamoja na kubaki 10 mlisimama kidete na hatimaye kufanikiwa kusonga mbele.
 

Costa Rica players celebrate their shootout success.


But Keylor Navas gets across to save brilliantly from Gekas.


Costa Rica and Greece line up for the national anthems.


Bryan Ruiz celebrates scoring the opening goal for Costa Rica.


Theofanis Gekas attempts to score from the penalty spot.


Greece players celebrate their equalising goal


Greece players react to going out of the FIFA World Cup.



Fans in Recife perform a Mexican wave during Costa Rica-Greece.


Cristian Gamboa of Costa Rica and Jose Cholevas of Greece compete for the ball.


Costa Rica and Greece line up for the national anthems.


Bryan Ruiz's shot rolls past Greece goalkeeper Orestis Karnezis into the net for the opening goal.


Sokratis Papastathopoulos celebrates with Greece teammates Lazaros Christodoulopoulos, Giorgos Karagounis and Giorgos Samaras.
 
kaka Malafyale unaonaje chance ya Nigeria Vs France kesho? najua unawafagilia Algeria vipi kuhusu hawa wezi wa online nadhani wana nafasi gani ya kuaibisha kigogo kingine cha ulaya au?
 
kwA wachezaji walotoka ntammis sana huyu kipa!!! alikuwa na fantastics saves sitomsahau!!
 
kaka Malafyale unaonaje chance ya Nigeria Vs France kesho? najua unawafagilia Algeria vipi kuhusu hawa wezi wa online nadhani wana nafasi gani ya kuaibisha kigogo kingine cha ulaya au?

Nigeria ndiyo watatia aibu mashindano haya kwa kuwa team pekee kufungwa kama watoto!
Jana na juzi hawa Nigeria hawajafanya mazoezi!!Wamegoma
 
Ni kweli kabisa kipa hadari sana,utakuwa unamuona akidakia Barcelona kwani wanakamilisha tu mipango ya kumchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…