Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halali yao Costa Rica kupita, Greece wamepewa nafasi wameshindwa kuitumia
Kesho/ ama leo jioni.. #TeamAfrica tutaonana wabaya tu...kaka Malafyale unaonaje chance ya Nigeria Vs France kesho? najua unawafagilia Algeria vipi kuhusu hawa wezi wa online nadhani wana nafasi gani ya kuaibisha kigogo kingine cha ulaya au?
Kesho/ ama leo jioni.. #TeamAfrica tutaonana wabaya tu...
#TeamFrance wafundisheni soka hao wapopo...
Nimeamka na kukuta utabiri wangu umekua kweli....hahahaMi ngoja niklale ila hii mechi inaamuliwa kwa penalt
daah. too bad..nlishajua wameshinda nkalala..
kweli mpira filimbi ya mwisho
kaka Malafyale unaonaje chance ya Nigeria Vs France kesho? najua unawafagilia Algeria vipi kuhusu hawa wezi wa online nadhani wana nafasi gani ya kuaibisha kigogo kingine cha ulaya au?
Jamani mimi kila timu ninayoshabikia inafungwa,usiombee nihamie kushabikia timu yako.nahisi mimi nitakuwa #teamkimavi