World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hatimaye imekua kinyume ha ha haa kutangulia si kufika atii..!!
 
Kwa wasiowafahamu Uholanzi, ni rahisi kuhitimisha safari yao mapema. Kwa tunaowafahamu Uholanzi na kufuatilia kandanda vizuri, ni ngumu ku-bet kuwa Holland wanatolewa na Mexico. Ipo habari inayotrend kwa sasa kuwa Robben alifoji penati, nadhani hizi ni zile stori za kujipa matumaini tu...

Tuendelee kufurahia world cup waungwana
 
Timu maarufu ya taifa la Uholanzi leo itakutana na kizingiti Mexico.

Naamini ndio utakuwa mwisho wa safari yake.

Nimezi consider timu zote na kufikia kuiamini zaidi Mexico.

Haya tuangalie jinsi Uholanzi inavyoondoka !

Utabiri wako umeshindwa
 
So far teams zote zimepigana kiume hata zilizotoka zimeonyesha uwezo mkubwa!Ona Nigeria watakavyo rojoka leo!!Wanaweza pigwa hata 4-0 hawa jamaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…