CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Washaanza kudai posho, kuna ku win hapo?
Kweli kabisa! Kwa moyo huo hakuna lolote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washaanza kudai posho, kuna ku win hapo?
km nigeria watasahau yalyotokea wakacheza in dscipln kutoka nyuma mpaka kwny final 3 ya france watawin.
Imekuwa NBA sasa mapumziko kweli Qatar itawezekana Joto lake wanazimia.
Hata wewe????
...labda ungeuliza kwanini nimesema hivyo !
Timu maarufu ya taifa la Uholanzi leo itakutana na kizingiti Mexico.
Naamini ndio utakuwa mwisho wa safari yake.
Nimezi consider timu zote na kufikia kuiamini zaidi Mexico.
Haya tuangalie jinsi Uholanzi inavyoondoka !
Kesho/ ama leo jioni.. #TeamAfrica tutaonana wabaya tu...
#TeamFrance wafundisheni soka hao wapopo...
Mkuu tusije kimbiana tu hapo baadae...Don ask me how bt leo vijana wa keshi wanafanya mashambulizi yakufa mtu france anatolewa u juc wait and see #GoTeamAfrica