Leo ndio wanafika mwisho wa safari yao... Ila Algeria kajiwekea rekodi yake hivyo hana cha kulose... Wapopo wanazidi kudidimia..!Haya muda wa kutishiana maisha na kutukanana radioni, online na magetini umeshafika. Subirini muone #TeamAfrica itakavyofanya mambo yake baadaye.
mi sinimekwambia timu zangu jaman.
Leo ndio wanafika mwisho wa safari yao... Ila Algeria kajiwekea rekodi yake hivyo hana cha kulose... Wapopo wanazidi kudidimia..!
Kwa wasiowafahamu Uholanzi, ni rahisi kuhitimisha safari yao mapema. Kwa tunaowafahamu Uholanzi na kufuatilia kandanda vizuri, ni ngumu ku-bet kuwa Holland wanatolewa na Mexico. Ipo habari inayotrend kwa sasa kuwa Robben alifoji penati, nadhani hizi ni zile stori za kujipa matumaini tu...
Tuendelee kufurahia world cup waungwana
Don ask me how bt leo vijana wa keshi wanafanya mashambulizi yakufa mtu france anatolewa u juc wait and see #GoTeamAfrica
Algeria hii ikimfunga France au hata ikimsumbua tu nalihama jiji hili lenye joto na kwenda kuishi Kyela na mchumba wangu tukalime mbatata!!
Benzema anaweza piga hat trick leo
Uholanzi yako itafirigiswa vibaya na Costarica;hamia mapema USA uwe stress free
DEMBA wanawekeza sana hawa watu kwenye soka na sasa matunda yanaanza kuonekana!My daughter shuleni kwao ndiyo mido ya nyuma wanamtegemea sana!Ni jukumu letu kum supportthubutuu. north America hawana lolote kwenye soka. stress za kujitakia nani anazitaka. tena uanze kumshawishi na daughter ahame mapema?maana atakuja aumie bure.
Am talkin abt Nigeria brodah siyo Algeria,
Typing error mkuu!Actually I was referring about Nigeria not Algeria!Matter of fact Nigeria will be out today before dawn
Kawachapa Italy,leo anawatoa Greece lkn kwa mshangao mkubwa Fulham walimmpeleka kwa mkopo Uholanzi lkjn wakamuacha Daren Bent!Ndiyo maana walishuka daraja