World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haya muda wa kutishiana maisha na kutukanana radioni, online na magetini umeshafika. Subirini muone #TeamAfrica itakavyofanya mambo yake baadaye.
Leo ndio wanafika mwisho wa safari yao... Ila Algeria kajiwekea rekodi yake hivyo hana cha kulose... Wapopo wanazidi kudidimia..!
 
Leo ndio wanafika mwisho wa safari yao... Ila Algeria kajiwekea rekodi yake hivyo hana cha kulose... Wapopo wanazidi kudidimia..!

Mpopo anatoka
Algeria HATOKI leo,najua unadhani huyu Malafyale chizi au nn lkn I will prove you deadly wrong just before the 90 minutes Haliche akiwa anapiga la 2 bado dakika 3 soka kuisha
 
Kwa wasiowafahamu Uholanzi, ni rahisi kuhitimisha safari yao mapema. Kwa tunaowafahamu Uholanzi na kufuatilia kandanda vizuri, ni ngumu ku-bet kuwa Holland wanatolewa na Mexico. Ipo habari inayotrend kwa sasa kuwa Robben alifoji penati, nadhani hizi ni zile stori za kujipa matumaini tu...

Tuendelee kufurahia world cup waungwana

messi anaongoza kwa kuingia na mpira kwenye eneo la penalti na kufanyiwa faulo lakini hajiangushi kama Robben. Robben ndo kiungo pekee ulaya aliyepewa penalti nyingi. Ukitaka kuwa salama na hako kababu kasiingie kwenye eneo la penalti kwani nilazima kata tafuta mguu kajigonge ili apata penalti. Huyu ni Diver!!!
 
Don ask me how bt leo vijana wa keshi wanafanya mashambulizi yakufa mtu france anatolewa u juc wait and see #GoTeamAfrica

Nigeria hii ikimfunga France au hata ikimsumbua tu nalihama jiji hili lenye joto na kwenda kuishi Kyela na mchumba wangu tukalime mbatata!!

Benzema anaweza piga hat trick leo
 
Algeria hii ikimfunga France au hata ikimsumbua tu nalihama jiji hili lenye joto na kwenda kuishi Kyela na mchumba wangu tukalime mbatata!!

Benzema anaweza piga hat trick leo

Am talkin abt Nigeria brodah siyo Algeria,
 
Uholanzi yako itafirigiswa vibaya na Costarica;hamia mapema USA uwe stress free

thubutuu. north America hawana lolote kwenye soka. stress za kujitakia nani anazitaka. tena uanze kumshawishi na daughter ahame mapema?maana atakuja aumie bure.
 
Niandae kitu yangu wakati wa mechi ya Nigeria nianze kuichoma tu!Karibuni sana home kwa wafuga mabomu Tandika Mabatini
 
thubutuu. north America hawana lolote kwenye soka. stress za kujitakia nani anazitaka. tena uanze kumshawishi na daughter ahame mapema?maana atakuja aumie bure.
DEMBA wanawekeza sana hawa watu kwenye soka na sasa matunda yanaanza kuonekana!My daughter shuleni kwao ndiyo mido ya nyuma wanamtegemea sana!Ni jukumu letu kum support
 
Last edited by a moderator:
Typing error mkuu!Actually I was referring about Nigeria not Algeria!Matter of fact Nigeria will be out today before dawn

Hahahahaaaaaa:sly: jamani jamani jamaniiiii tusije kimbiana baada ya mchezo nigeria wapo vizuri hao ufaransa wenyewe walikua wanaombea wasije kua nao kwenye knock out stage coz ni wagumu kufungika.
 
Mwezi mtukufu na soka vinaenda pamoja!Tukifuturu twende kwenye Tv zetu
 
Angekuwepo hai kaka yangu mtangazaji Richard Mwaibabile"Mwana"angekuwa anatuchambulia WC hii kama alivyokuwa anafanya ile ya 2002!
Ina allah wa raajun Mwaibabile!
 
Kawachapa Italy,leo anawatoa Greece lkn kwa mshangao mkubwa Fulham walimmpeleka kwa mkopo Uholanzi lkjn wakamuacha Daren Bent!Ndiyo maana walishuka daraja

Waingereza wapuuzi...Bent coz ni Muingereza.
 
Roben amekiri kuwa alimdanganya refa iliapewe penalty.sijui fifa itatoa adhabu gani fuatilia bbc news.
 
Back
Top Bottom