World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

alimdanganya mara tatu ambazo refa angemtoa kwa kadi lakini refa alifunika kombe mwana haramu apite. Ile ya dakika 94 za mwisho ndo ilikuwa ya kweli ambayo kama angekuwa ametolewa kabla huenda isingekuwepo na matokeo huenda yangekuwa tofauti.
 
Roben amekiri kuwa alimdanganya refa iliapewe penalty.sijui fifa itatoa adhabu gani fuatilia bbc news.

Kama Umecheza Fabo ( Mpira ) Huna Cha Kushangaa Tena Binafsi Japo Nilikuwa Siwapendi Uholanzi ILA Nimemsifu Mno Arjen Robben Kwa Ujanja Wa Hali Ya Juu Alioutumia Kwa Faida Ya Timu Na Nchi Yake. Mchezaji Unatakiwa Uwe na Vitu Vya Ziada Ambavyo hata Kocha Hakuwahi Kukuambia AU Kukufundisha.
 
penati halali ile acha kupotosha.

Hakika Tunapishana ktk Mifumo Yetu Ya MEDULA OBLANGATA. Jamani Hivi Ina Maana Tunashindana Na Hata Muhusika Mwenyewe Aliyekiri Tena Kupitia ktk Runinga Zote Za Kimataifa Jana ktk Post Match Interview? Tuache Ligi Za Kishamba.
 
Huyo akienda mexico anakula shaba, mpuuzi kweli.!!
 
Hakika Tunapishana ktk Mifumo Yetu Ya MEDULA OBLANGATA. Jamani Hivi Ina Maana Tunashindana Na Hata Muhusika Mwenyewe Aliyekiri Tena Kupitia ktk Runinga Zote Za Kimataifa Jana ktk Post Match Interview? Tuache Ligi Za Kishamba.
Kwani Diego Maradona alipokiri kufunga goli kwa mkono, uamuzi wa refa ulibatilishwa? Nina wasiwasi umeanza kushabikia mpira wa soka mwaka huu...
 
Alichomaanisha ni kuwa angekuwa yeye ni refa asingetoa penalti
 
Na hiyo ndiyo faida ya kuwa na wachezaji wajanja kama Arjen Robben. Wanaoshangaa hilo nadhani hawafahamu soka vizuri, katika soka mchezaji akifanikiwa kuteka maamuzi ya refa hiyo inaruhusiwa. Tatizo la mabeki wengi kutumia mguu wa kulia linawasumbua kukaba washambuliaji(Orthodox) kama Robben, mbaya zaidi badala ya kushambulia kutoka left wingi yeye huwa anashambulia kutoka right wing, ambayo huwa ngumu zaidi kwa mabeki.
 
ndio kandanda Mzee wa Usafi

wanaoweza ku-fake bila kugundulika ndio wanaibuka washindi. Goli alilofunga Maradona miaka ile akaliita goli la mkono wa mungu ndilo liliipa Argentina ubingwa wa dunia mwaka 1986 pale Mexico City. Hivyo kudanganya mpirani hakujaanza na Robben the diver ama sio.

Mwisho wa siku Holland wapewe credit kubwa tu kwa kulazimisha ushindi ndani ya dkk 90.
 
Kwani Diego Maradona alipokiri kufunga goli kwa mkono, uamuzi wa refa ulibatilishwa? Nina wasiwasi umeanza kushabikia mpira wa soka mwaka huu...

Hapa kinajadiliwa maamuzi kubadilishwa au uhalali wa penalt?
 
Penalti c halali ila wazungu nao waone kuna uonevu wa marefari.mexico walipaswa kushnda ile gemu walicheza vizuri sna
 
Roben amekiri kuwa alimdanganya refa iliapewe penalty.sijui fifa itatoa adhabu gani fuatilia bbc news.

Alikiri kujirusha kumdanganya refa KIPINDI CHA KWANZA na refa hakutoa penalti ila anadai kipindi cha pili pale mwishoni ni kweli aliangushwa na PENALTI NI HALALI. Kwa hiyo goli la ushindi la penalti halikutokana na yeye kumdanganya refa. Hata hivyo hata kipindi cha kwanza alipojirusha na yeye anakiri hivyo alistahili kuadhibiwa na refa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…