Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo hayatabadilika mkuu...
kwa bahati nzuri au mbaya ninayo moja tangu nijiunge hivyo Holland out am in
Roben amekiri kuwa alimdanganya refa iliapewe penalty.sijui fifa itatoa adhabu gani fuatilia bbc news.
Roben amekiri kuwa alimdanganya refa iliapewe penalty.sijui fifa itatoa adhabu gani fuatilia bbc news.
Uamuzi wa Refa ni wa Mwisho.....
penati halali ile acha kupotosha.
Ulishawahi kuona au japo hata kusikia maamuzi ya refa yakabatilishwa hata kama ikitokea refa akaadhibiwa?Wakati wa mchezo...........................
Kwani Diego Maradona alipokiri kufunga goli kwa mkono, uamuzi wa refa ulibatilishwa? Nina wasiwasi umeanza kushabikia mpira wa soka mwaka huu...Hakika Tunapishana ktk Mifumo Yetu Ya MEDULA OBLANGATA. Jamani Hivi Ina Maana Tunashindana Na Hata Muhusika Mwenyewe Aliyekiri Tena Kupitia ktk Runinga Zote Za Kimataifa Jana ktk Post Match Interview? Tuache Ligi Za Kishamba.
Hakika Tunapishana ktk Mifumo Yetu Ya MEDULA OBLANGATA. Jamani Hivi Ina Maana Tunashindana Na Hata Muhusika Mwenyewe Aliyekiri Tena Kupitia ktk Runinga Zote Za Kimataifa Jana ktk Post Match Interview? Tuache Ligi Za Kishamba.
Na hiyo ndiyo faida ya kuwa na wachezaji wajanja kama Arjen Robben. Wanaoshangaa hilo nadhani hawafahamu soka vizuri, katika soka mchezaji akifanikiwa kuteka maamuzi ya refa hiyo inaruhusiwa. Tatizo la mabeki wengi kutumia mguu wa kulia linawasumbua kukaba washambuliaji(Orthodox) kama Robben, mbaya zaidi badala ya kushambulia kutoka left wingi yeye huwa anashambulia kutoka right wing, ambayo huwa ngumu zaidi kwa mabeki.Kama Umecheza Fabo ( Mpira ) Huna Cha Kushangaa Tena Binafsi Japo Nilikuwa Siwapendi Uholanzi ILA Nimemsifu Mno Arjen Robben Kwa Ujanja Wa Hali Ya Juu Alioutumia Kwa Faida Ya Timu Na Nchi Yake. Mchezaji Unatakiwa Uwe na Vitu Vya Ziada Ambavyo hata Kocha Hakuwahi Kukuambia AU Kukufundisha.
Utafuatilia sana BBC mpaka luku itaisha, maamuzi yatabaki pale pale....Roben amekiri kuwa alimdanganya refa iliapewe penalty.sijui fifa itatoa adhabu gani fuatilia bbc news.
messi anaongoza kwa kuingia na mpira kwenye eneo la penalti na kufanyiwa faulo lakini hajiangushi kama Robben. Robben ndo kiungo pekee ulaya aliyepewa penalti nyingi. Ukitaka kuwa salama na hako kababu kasiingie kwenye eneo la penalti kwani nilazima kata tafuta mguu kajigonge ili apata penalti. Huyu ni Diver!!!
Kwani Diego Maradona alipokiri kufunga goli kwa mkono, uamuzi wa refa ulibatilishwa? Nina wasiwasi umeanza kushabikia mpira wa soka mwaka huu...
Roben amekiri kuwa alimdanganya refa iliapewe penalty.sijui fifa itatoa adhabu gani fuatilia bbc news.