World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Imagine Nigeria inashinda all the way mpaka kuchukua kombe,mweee Waaafrica wataunganaje sasa,ila leo POGBA anapoteza sana pasi. juve2012 upo?

Nipo mdada ila niko mjini bado.hizi game za saa moja huwa zinanipita sana.Pogba yuko katika building phase ya maisha yake kisoka.kwa hiyo kiwango chake kinategemea psychological reaction yake kulingana na ukubwa na ugumu wa mechi.ndio maana sometimes huwa anafanya childish things uwanjani.bado mdogo sana kimpira,kiumri,labda kimaisha "ni mkubwa".tumpe muda,ni mchezaji mzuri tu,tena sana,saana.
 
Last edited by a moderator:
wapi idawa? nilikwambia nigeria hata wakitolewa wanahitaji pongezi kwakweli
 
Back
Top Bottom