Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Presha ya nini wakati tunashinda
Imagine Nigeria inashinda all the way mpaka kuchukua kombe,mweee Waaafrica wataunganaje sasa,ila leo POGBA anapoteza sana pasi. juve2012 upo?
Nigeria mpira wa chini unawasumbua sana
Yeah mkuu imagine ndg yako..
Kajitahidi kipa
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
acha kasumba wewe....nigerians are just amazing!!!
wafaransa waliambiwa huyo atawanyima magoli. hajafungwa hata goli moja mechi 20 mfululizo rigi ya urafansa
hanionagi huyu
leo ushabiki wapi
france leo wabovu
Nigeria wakishinda leo ni Africa unite,we are the children ot the higher man,Team Nigeria mpo?
nafikiri tunaangalia mechi tofauti mkuu...
Hahaha bado Mapema 😉