Fikiria ndo kazi yake jamani,inauma jamani sasa itabidi awe kwenye matibabu,Matuidi kanisikitisha sana,labda ni bahati mbayapole imesikitisha sana.... mile nilijua kavunjwa mguu
ona hapa walivyomsukuma huyo kaka
Uko Sahihi..
Cameroon
Senegal
Ghana..
Niko nanyumbu nipeni matokeo plz
Yaaani wasijr wakatusuprise tuNigeria wangetakiwa hii gemu washinde kwa bao tano..
Ana swaumu sijui,au anawaza Algeriahakuna cha benzema leo
maana nilikua nafatilia 2010
sa hapa nikahisi labda kumbukumbu zimekata
beki 2 Alphonce imetuliaaaa inajiamini inapanda inashuka......