Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Nigeria ikivuka robo fainal ndo itakuwa team ya kwanza Africa kufikia hiyo hatua?
Hivi Nigeria ikivuka robo fainal ndo itakuwa team ya kwanza Africa kufikia hiyo hatua?
atakua huyo matuid
hujapata taarifa kua sisi waafrika tuliwahujumu wachezaji tukala posho zao hadi wakagoma kwenda mazoezini? Siwalaumu wachezaji maana wana uwezo hasa ila hujuma za viongozi wetu mfano wa kina Malinzi Tanzania
![]()
Nigeria goalkeeper Vincent Enyeama saves a shot by Paul Pogba of France.
![]()
France midfielder Blaise Matuidi challenges Nigeria's Peter Odemwingie for the ball.
![]()
Nigeria's Emmanuel Emenike is challenged by France's Patrice Evra and Yohan Cabaye.
![]()
Nigeria's Ahmed Musa and France's Mathieu Debuchy vie for the ball in Brasilia.
Powa tu Skype uko powa.
Dah mbona mambo sio kama nilivyodhania tena
we ulidhaniaje
Matuidi jamani anamuumiza muafrica mwenzake,halafu ana bahati hapo ilikuwa ni red card