Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa wakuu nimechewa kidogo hebu nipeni updates kabla sijawasha tv hapa
Bila bila Kamanda,ni mapumziko
Mkuu Skype Sijambo kabisa..Mimi hizi timu za Africa mwanzoni ziliniudhi...Hasa Cameroon ..Leo kidogo Safi ndiyo maana niko Jukwaani.. 🙂
Teh teh 😀 Sasa itakuwaje kama tutafika kwenye penalty?? ..
Hivi Nigeria ikivuka robo fainal ndo itakuwa team ya kwanza Africa kufikia hiyo hatua?
Tatizo Nigeria wanapoteza nafasi nyingi sana!!France wakipata nafasi hizi wanafunga
hivi nigeria ikivuka robo fainal ndo itakuwa team ya kwanza africa kufikia hiyo hatua?