World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

USA lazima tutamliza Ureno na kufungwa kwa mbinde na Germany na Ghana. Subiri utaona.

Unatania???? USA amfunge Portugal kwenye ice hockey? mkishindwa kutoa draw na Ghana, hamtatoka na point hata moja
 
Mkuu sema wengi hawakujipanga vizuri au walienda kwa mazoea, kama Spain utasema alijipanga kweli.?

Noooo spain wao wanekuja na dharau nyingi wanapima kima cha maji kwa mguu lol wamezamaaa
 
Australia wamebadilika kama nyuki hapa. WC hii mwaka huu tamu sana aisee
 
World Cup safari hii itakuwa ngumu sana kutabirika tofauti na wengi wanavyofikiria.
 
Tim Cahill ikumbukwe kuwa yeye ndio All time goal scorer wa Australia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…