rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Ebana wazungu hasa England walikuwa wanapiga domo kupinga kombe la dunia kupelekwa South Africa 2010 wakalichamba bara letu la Africa, angalia hivi viwanja vya Brazil jinsi pitch yake ilivyo hovyo hovyo kuliko ilivyokuwa South Africa. Sijasikia wazungu wakibwabwaja juu ya hili hadi sasa.