World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Always mshindi wa world cup kwa nchi za ulaya hua anakutana na vichapo next world cup tournament!!
Angalia ujeruman magharibi enzi hixo 1990 alichukua but 1994, alitoka mapema,brazili alichukua,akaenda fainali 1998 na france but magoli hayakutosha,France akachukua
2002 kilichomkuta France ni aibu,2006,akachukua itary kilichomkuta 2010 pale kwa mzee madiba ni aibu na 2010 akachukua Spain,sasa ona kichapo anachokumbana nacho! Tusubiri tuone!!
 
Spain haina beki. style ya mpira wanaocheza itabidi waibadilishe.kumbuka hata Brazil iliwacost sana na walihangaika kubadilisha style yao ya uchezaji.hiyo Total football sio dili tena.Kumbuka mwaka jana ktk fainali ya kombe la mabara ilipigwa goli 3-0 na Brazil lakini inaonekana bado hawajiulizi ni kwanini.

Hili nililieleza kuna mdau humu alinibishia sana. Naona kapotea ghafla baada ya mechi.
 
Always mshindi wa world cup kwa nchi za ulaya hua anakutana na vichapo next world cup tournament!!
Angalia ujeruman magharibi enzi hixo 1990 alichukua but 1994, alitoka mapema,brazili alichukua,akaenda fainali 1998 na france but magoli hayakutosha,France akachukua
2002 kilichomkuta France ni aibu,2006,akachukua itary kilichomkuta 2010 pale kwa mzee madiba ni aibu na 2010 akachukua Spain,sasa ona kichapo anachokumbana nacho! Tusubiri tuone!!

Tusubiri kweli tuone
 
Ebana wazungu hasa England walikuwa wanapiga domo kupinga kombe la dunia kupelekwa South Africa 2010 wakalichamba bara letu la Africa, angalia hivi viwanja vya Brazil jinsi pitch yake ilivyo hovyo hovyo kuliko ilivyokuwa South Africa. Sijasikia wazungu wakibwabwaja juu ya hili hadi sasa.

Waingereza madomokaya mas...ng na maboya sana hayajui mpira kazi majungu majungu na chuki zisizo na msingi.
 
Waingereza wameshalalamila pitch itakayotumika kwenye mechi yaoa ya kesho sio nzuri/haijakamilika

Kwahiyo wakifungwa tayari wana sababu

England hakuna kitu pale labda wacheze na Taifa stars ndo wataambulia hata droo.
 
Hizi timu nazo bana wamesababisha betting companies kuongeza hela
 
Mara nyingi bingwa mtetezi anatoka mapema, Italy alitoka mapema sana , sasa huyu spain nae kutoka lazima
 
Wangewaacha hao wazee wao mtu msimu mzima amekaaa nje afu mnamuweka kudaka kombe la dunia mbele ya wasakamia nyavu wakubwa.
 
asee kwel...
chile wanashinda goli 3 kwa 1 .
spain mechi inayokuja wanashinda 2 kwa 1.
chile watadroo na uholanzi.
then next
"SPAIN OUT"

We jamaa kama mchawi vile, ulitabiri ya chile na kweli imetokea
 
Ampange kipa namba moja wa real badala ya Casillas laa sivyo wataumia sana
 
Back
Top Bottom