Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
masai dada! Chile 3-1 Australia.nipeni tokeo mechi ya chile
Sema hapana kwa usingizi!
Ivory cost Vs japan 1:00
England vs Italy 4:00
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masai dada! Chile 3-1 Australia.nipeni tokeo mechi ya chile
Cassilas si kipa kabisa.Ampange kipa namba moja wa real badala ya Casillas laa sivyo wataumia sana
Naamini safari haijaisha, ni mapema mno kusema hivyo. Kimsingi kufungwa 5-1 kwa timu kama Spain ni pigo kubwa. Lakini tukizungumzia umri, hata wale Waholanzi wengi umri wao sio vijana kama utakavyodhania. Mpira uliwakataa Spaniard jana na Dutch uliwakubali, hilo tu ndo pekee ambalo naweza kusema.
masai dada! Chile 3-1 Australia.
Sema hapana kwa usingizi!
Ivory cost Vs japan 1:00
England vs Italy 4:00
Mara nyingi bingwa mtetezi anatoka mapema, Italy alitoka mapema sana , sasa huyu spain nae kutoka lazima
Dah nimefadhaika sana
Kuhusu cameroon au spain
Hata ufunguzi sijaona kilichonifurahisha.south walijitahd sana na ilikuwa nzuri na yenye kuvutia
nipeni tokeo mechi ya chile
Naamini safari haijaisha, ni mapema mno kusema hivyo. Kimsingi kufungwa 5-1 kwa timu kama Spain ni pigo kubwa. Lakini tukizungumzia umri, hata wale Waholanzi wengi umri wao sio vijana kama utakavyodhania. Mpira uliwakataa Spaniard jana na Dutch uliwakubali, hilo tu ndo pekee ambalo naweza kusema.
Poleeeeespain 2 holland 1
...naamini man united wamepata dawa ya kuipiga barca...
Si umeona wanaume wanatandaza mpira mtu kachapika 5 brazili yako wanauweza ule mziki? umewaona chile lakin? bado wanaume wengine,italy,ujeruman,uruguai,argentina mbona patachimbikasafari hii spaini ndo tumeanza kuwaaga hivyo kwa africa safari ya cameroon inaandaliwaDaudi1 upo?
Kwa chile hata brazili anakaaa,ila wadutch wako vizuriChile 3- 1Australia