Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Labda ujeruman lakini portugal haitishi sana kumbuka hata Ghana wako Vizuri ndo maana wamepangiwa hapo ili kuwapunguza makali ila yote kwa yote nawaombea watutoe kimaso masoTatizo mkuu Ghana wetu wamepangwa kundi gumu sana hebu fikiria kuna portugal na Germany, Hivi hawa wazungu waliopanga hayo makundi wanatutakia mema kweli? Au kwakuwa wanaogopa moto wa Ghana wa 2010 usije ukawaka tena safari hii?