World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tumepigwa lakini haina shida, tff yao ilikula hela zao, wangeweza kupambana zaidi ila morari imeshuka
 
Goal la Nguruwe watoto 12


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mpaka hapa ile kawaida yetu inajieleza

Isipokuwa refa kawafanya ufaransa waendelee kuwa 11 badala ya 10 baada ya kuvunja mguu nayee akishuhudia.
 
Pogba kawafunga waafrica wenzake,kijana kutoka Guinee,anang'aaa Ulaya,goal la kiakili kabisa,safi sana Pogba umeonyesha intelligence yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…