World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

France 2-0 Nigeria...FT


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Potelea mbali tumefungwa na waafrica wenzetu. ufaransa ni sehemu ya africa
 
Basi tena BOKO haramu wataendelea kuwashikilia mateka maana walitoa offer wangeachiwa km Nigeria wangeshinda


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo tulivyo MI-AFRICA!!Mpira wa kurusha Odemwengie anasababisha kona kijinga kabisa!Miafrika bana

Sio Odemwengie,yeye alifanya juhud na akaurudisha kwa lijamaa limoja pale nyuma likazubaa ndo ikawa ikawa kona.
Kama uliona Peter hadi alitingisha kichwa.
 
Naona Deschamps alienda straight kuwapa pole waafrica wenzake kabla ya kuipongeza timu yake
 
Africa out out out...
Algeria hana mabavu na benz ya mjerumani

####team germany
 
Yana hawa mambulula wangejua watu tunaumia kiasi gani huku timu za Africa zikifungwa.....wasingecheza kikocho hivi....yaaani!
Afu hata hayaoni hata aibu yaaani Afrika bana ndo maana wanazidi kutushinda tu kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…