Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kwaheri Nigeria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika leo ndo mwisho aisee mmentuangusha sana
Vipi mkuu upo?tusubiri ya usiku hope Algeria watapita ili wakutane na mkoloni wao Francejamani acheni kuwepo picha nyingi hapa kuna uzi la picha na video za worldcup
Ndiyo tulivyo MI-AFRICA!!Mpira wa kurusha Odemwengie anasababisha kona kijinga kabisa!Miafrika bana
Afrika leo ndo mwisho aisee mmentuangusha sana
Potelea mbali tumefungwa na waafrica wenzetu. ufaransa ni sehemu ya africa
Afu hata hayaoni hata aibu yaaani Afrika bana ndo maana wanazidi kutushinda tu kila sikuYana hawa mambulula wangejua watu tunaumia kiasi gani huku timu za Africa zikifungwa.....wasingecheza kikocho hivi....yaaani!
Basi tena BOKO haramu wataendelea kuwashikilia mateka maana walitoa offer wangeachiwa km Nigeria wangeshinda
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
mi ngasoka sihitaji kuwa shabiki wa Africa tena