World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Waafrika tunawapa ujiko mno watu wasiostahili....wachezaji kama benzema na Wengine tunawapandisha chati bure bure...
 
Tuombe mungu Zambia waende world cup..hawanaga uzembe uzembe..kama wa Nigeria
 
cameroon 1990,senegal 2000,ghana 2010,zote zilifika hatua ya roba final na nigeria imetoka ss tuangalie algeria saa 5
 

Vipi,habari za jioni,ah,nimekumbuka,za asubuhi mkuu?nasikia kijana kakujibu meeenyewee,wala mie sitii neno tena,dah,ila kaitoa timu yetu dah!basi haya!
 
Last edited by a moderator:
Hii mechi inaweza kwenda kokote lakini kama ulivyosema kama Algeria watakuwa wanashinda basi refa lazima atie mkono wake.

Hapo umeongea, haiwezekani nazi kuokotwa chini ya mwembe.

Kwa mbinu zozote zile germany atashinda na kupita, lasivyo atashindishwa na waamuzi ilmradi Germany apite.
 
Si-kwamba nawavunja moyo, tambueni kwamba Germany anashinda kama sio kihalali basi kwa hila hata za waziwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…