Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 796
hahaha bado una mahopes shemeji
Watu wana mioyo ya chuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha bado una mahopes shemeji
Waafrika tunawapa ujiko mno watu wasiostahili....wachezaji kama benzema na Wengine tunawapandisha chati bure bure...
huyu mtangazaji anavyosema Nigeria zero nasikia vibaya
Tujaribu kuokota nazi chini ya mwembe kwa Algeria na Germany. Hakuna ajuaye litakalotokea.
#teamAlgeria #
Jiunge kwenye timu yangu upate raha na burudani.
Tuombe mungu Zambia waende world cup..hawanaga uzembe uzembe..kama wa Nigeria
nimekoma kushabikia Africa, sitakaa nirudie
Jamani nigeria maskini wanatia huruma
Pogba HANA kitu mkuu,ana ng'aa Juventus sababu kazungukwa na wataalam walio bobea!Nyuma yako yupo Pirlo,kulia kuna Vidal na kushoto kuna Marchisio hata ungekuwa wewe juve2012 ungeng'aa maana kazi yake pale Juventus Pogba ni kupiga tu mashuti!!
Mavuba angeanza kwa Pogba ambaye sio creative
Hapo umeongea, haiwezekani nazi kuokotwa chini ya mwembe.
Kwa mbinu zozote zile germany atashinda na kupita, lasivyo atashindishwa na waamuzi ilmradi Germany apite.
kujifanya uzalendo hell No next time
Benzema hana lolote huyo,hata POGBA anamzidiWaafrika tunawapa ujiko mno watu wasiostahili....wachezaji kama benzema na Wengine tunawapandisha chati bure bure...
Njoo Algeria nakuhakikishia HAITA KUANGUSHA