World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kufungwa kwa Spain ni kielelezo kingine kuwa SOKA la KUREMBA halina tena nafasi duniani
 
Unatania???? USA amfunge Portugal kwenye ice hockey? mkishindwa kutoa draw na Ghana, hamtatoka na point hata moja

Umesahau tulivyofanya 2002 na walikuwa na timu nzuri yenye mastar zaidi ya mmoja kuliko sasa hivi. Kina Figo hawakuchakaruka siku ile.CR7 atawekwa kimya siku hiyo kama vile hayupo.
 
macho hayana ushirikiano mechi za popo izi
 
Inaonyesha huwakubali kabisa Spain na style yao ya mpira

Mkuu Spain wamejaza sana wazee wenye mbinu zile zile toka 2008!Kila top seeds team sasa zonajua mbinu zao!

Ondoa Alonso;Casillas;Xavi;Iniesta;Pique;Villa na Davido Villa;Torres then leta akina Isco na akina Morrata waungane na Koke na Fabr
 
Umesahau tulivyofanya 2002 na walikuwa na timu nzuri yenye mastar zaidi ya mmoja kuliko sasa hivi. Kina Figo hawakuchakaruka siku ile.CR7 atawekwa kimya siku hiyo kama vile hayupo.

Mkuu una moyo mgumu sana, ila safi sana kujifariji mara moja moja
 
Inaonyesha huwakubali kabisa Spain na style yao ya mpira
mkuu humu inaonyesha wengi hawaitakii mema spain ila kufungwa kwa spain leo ndio kunamfanya spain mechi zote ziliobakia anahakikisha anashinda tena kwa magoli mengi spain anapita bila wasi toa shaka
 
Mkuu Spain wamejaza sana wazee wenye mbinu zile zile toka 2008!Kila top seeds team sasa zonajua mbinu zao!

Ondoa Alonso;Casillas;Xavi;Iniesta;Pique;Villa na Davido Villa;Torres then leta akina Isco na akina Morrata waungane na Koke na Fabr

Kweli kabisa tatzo lao mpira wao ni ule ule wa siku zote, pasi pasi pasi , sasa timu nyingi zimeshaujulia mfumo wao wa uchezaji{angalia Barcelona wanavyotaabika}
 
mkuu humu inaonyesha wengi hawaitakii mema spain ila kufungwa kwa spain leo ndio kunamfanya spain mechi zote ziliobakia anahakikisha anashinda tena kwa magoli mengi spain anapita bila wasi toa shaka

#TeamSpain safi sana bado mna imani na chama lenu

Kundi lenu mnatakiwa/mna uwezo wa kuifunga Australia na labda mnaweza kuwafunga Chile. ILA huko mbele mkikutana na likes of Germany mtakula kipigo kibaya
 
Historia ya hii kombe ilivyoanza juzi inaonyesha anayetangulia kufunga goli ndo anakuja kupigwa goli nyingi,brazil alifungwa akasawazisha na kushinda,Spain alitangulia Holland wakasawazisha wakashinda,Ila Cameroon walifungwa wao hakurespond,hebu tusubiri Chile maana wao wametangulia kufunga je Australia watasawazisha na kushinda?
 
Mkuu una moyo mgumu sana, ila safi sana kujifariji mara moja moja

Mkuu hebu mkumbushe DonDonald jinsi Marekani tulivyowagonga Ureno World Cup 2002 na mwaka huu lazima tuwagonge tena au unaonaje? Malafyale
 
Walishaanza kushangiria maskini offside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…