Vipi,habari za jioni,ah,nimekumbuka,za asubuhi mkuu?nasikia kijana kakujibu meeenyewee,wala mie sitii neno tena,dah,ila kaitoa timu yetu dah!basi haya!
France sio Africa bana,ni Ulaya wapo!!
Mkuu hata sie hatuna uzembe ngoja taifa stars iende wedikapu
Hapo nilikuwa naombea France ashinde,nilikuwa naogopa wasifike matuta,maana Enyiama angewakwamisha France.Ila Germany ni hatari France itakuwa ngumu kuvuka robo fainalisasa umeshatukimbia timu Afrca?
Kama Algeria angecheza na France angepita maana wapo vyema sana kwenye kumalizia
nilikua na stress ila ghafla zimepotea kwa kusoma ndoto yako nzuuuri hahahaaa
Nimekumbuka yule Dogo anayechezea Beligium,aliulizwa kwa nini hakuchagua kuchezea Harambee stars,moja ya majibu yake ilikuwa hajui ni lini Kenya itafuzu WC,hivyo ndo maana akachagua timu yenye matumaini Belgiumnilikua na stress ila ghafla zimepotea kwa kusoma ndoto yako nzuuuri hahahaaa
vipi mkuu upo?tusubiri ya usiku hope algeria watapita ili wakutane na mkoloni wao france
Ni aje banaaa!!! Unataka kushangilia wazungu, wajapan, wachina au wahindi wanapocheza na timu za kwetu? Kumbuka kampeni ya Africa kwanza lol!!!!
Mkuu hata sie hatuna uzembe ngoja taifa stars iende wedikapu
Nimekumbuka yule Dogo anayechezea Beligium,aliulizwa kwa nini hakuchagua kuchezea Harambee stars,moja ya majibu yake ilikuwa hajui ni lini Kenya itafuzu WC,hivyo ndo maana akachagua timu yenye matumaini Belgium
Hawa naijeria jana si wameshnda tuzo za BET,Wakwende zao huko kila siku wao tu..
Utasubiri sana Mkuu labda mpaka mwaka 4050 lol!!!!
Utasubiri sana Mkuu labda mpaka mwaka 4050 lol!!!!
haha does it make any difference
nipo unajua naandika thesis nilitoka kidogo kuchukua madesa. Sijakata tamaa wamejitahidi nigeria ila fa yao waache kula mapene. Tupo pamoja #teamaljeria