World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Vipi,habari za jioni,ah,nimekumbuka,za asubuhi mkuu?nasikia kijana kakujibu meeenyewee,wala mie sitii neno tena,dah,ila kaitoa timu yetu dah!basi haya!

To score a goal it does not mean you good!Giroud huwa mbona anafunga Arsenal?Is he good?
 
nilikua na stress ila ghafla zimepotea kwa kusoma ndoto yako nzuuuri hahahaaa
Nimekumbuka yule Dogo anayechezea Beligium,aliulizwa kwa nini hakuchagua kuchezea Harambee stars,moja ya majibu yake ilikuwa hajui ni lini Kenya itafuzu WC,hivyo ndo maana akachagua timu yenye matumaini Belgium
 
Ni aje banaaa!!! Unataka kushangilia wazungu, wajapan, wachina au wahindi wanapocheza na timu za kwetu? Kumbuka kampeni ya Africa kwanza lol!!!!

Algeria wamebakia matumain yako kidogo nimekuwa supporter tangu tuanze naambulia disappointment tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimekumbuka yule Dogo anayechezea Beligium,aliulizwa kwa nini hakuchagua kuchezea Harambee stars,moja ya majibu yake ilikuwa hajui ni lini Kenya itafuzu WC,hivyo ndo maana akachagua timu yenye matumaini Belgium

umeona ee? Haya eti na kwa konda wa ndege twende wedikapu si utani huu jamani au?
 
ngaria lost a gam snce bosna match.bt enyiama used his own proffsion for dzeco.due tech.discpln from back to midfld fall
 
nipo unajua naandika thesis nilitoka kidogo kuchukua madesa. Sijakata tamaa wamejitahidi nigeria ila fa yao waache kula mapene. Tupo pamoja #teamaljeria

kweli mkuu maviongozi yetu yanatugharimu mno, piga hesabu hizo ni pesa za fifa kuwasapoti wachezaji zimepigwa, je pesa za wedi-benk kusapoti miradi mbalimbali si ndo majanga kabisa?
 
Back
Top Bottom