World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

[MENTION]everlenk [/MENTION]nakutakia kila-raheri kwa mechi inayofuata.

Ngoja nkalale maana itaniumiza bure na kuntia kichefuchefu maudhi ya mechi ya Nigeria na France yanatosha.
 
kweli mkuu maviongozi yetu yanatugharimu mno, piga hesabu hizo ni pesa za fifa kuwasapoti wachezaji zimepigwa, je pesa za wedi-benk kusapoti miradi mbalimbali si ndo majanga kabisa?

Yaaani mpaka raisi ianingilia kati kama bongo vile. muntari na boatendg wamesema wakiwa usa kwenye mazoezi walilala kwenye hoteli inavuja istoshe wakapanda ndege mbili tofauti wachezaji na economy class huku viongozi na familia zao wakipanda buzinezi clasi. halafu wakihoji wanatukananwa wakaaamua kuwachenjia.
 
Najua hilo inaumiza sana, lakini ujue na marefa pia hawatupendi kumbuka mechi ya Ivory Coast tulivyodhulumiwa kusonga mbele huku kukiwa kumebaki sekunde 30 tu.

Algeria wamebakia matumain yako kidogo nimekuwa supporter tangu tuanze naambulia disappointment tu
 

huku kwetu kuna konda wa ndege na vilevile ni nguli wa sanaa anaipigisha kwata nchi mpaka basi tu, niishie hapa kusubiri wahanga wengine algeria sijui kama wao walilipwa pesa zote!
 
[MENTION]everlenk [/MENTION]nakutakia kila-raheri kwa mechi inayofuata.

Ngoja nkalale maana itaniumiza bure na kuntia kichefuchefu maudhi ya mechi ya Nigeria na France yanatosha.

Pole sana wangu,ulale unono.
 
nigeria wamegoma kurudi kwao baada ya kundi la boko haram kujitolea kwenda airpot kuwapokea
 
Algeria wanatakiwa wambamize mkoloni wetu ngumi 5 tu za uso zitatosha na wanakua wameweka bonge la heshima.
 
No, the referee in turn who has made it by retaining his red card in his pocket despite the fact that Matuid had broken

somebody's leg.

African's teams are eliminated by many factors within and not within play grounds.
Nakuunga mkono, factors zipo kibao zilizochangia timu za kiafrica kushindwa na hilo la marefarii mimi siwezi kuliacha. The sad fact.

Well dome wapopo
well done my hero Vincent
poleni #teamnigeria wenzangu, mi nakufa na tai shingoni, sijutii kuwa #teamwapopo , hata kidogo, japo roho inauma
 
THANK YOU SIR!!!! It is very painful but that is the truth.

No, the referee in turn who has made it by retaining his red card in his pocket despite the fact that Matuid had broken

somebody's leg.


African's teams are eliminated by many factors within and not within play grounds.
 
nigeria wamegoma kurudi kwao baada ya kundi la boko haram kujitolea kwenda airpot kuwapokea

Ha Ha Ha dah utani mwingine kiboko.

Ila Nigeria ndio wanabidi wajilaumu wenyewe leo ilikuwa nafasi yao nzuri sana kuweza kuingia robo fainali, ila ndio hivyo tena.

#TeamAlgeria
 
Mosad11 washenzi kama Muhongo na bosi wake wanakubania gesi!!

ha ha ha ha! that is not my line of business! currently have enough stake in engineering and construction! but later am planning to venture in oil and gas opportunity! nitakapolifikia hilo daraja nitajua namna ya kulivuka!
 

Yaani hata mie kiroho safi,bravooo Nigeria!!!! No posho game litakuwaje tamu??? Wamejitahid jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…