stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Anaitwa nani?yule omolo?
Anaitwa matheui Valbuena ,,,kalingana na kibendera
View attachment 168093
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa nani?yule omolo?
Kweli kabisa mkuu.....
Ila jamaa anasakata kabumbu si mchezoAnaitwa matheui Valbuena ,,,kalingana na kibendera
View attachment 168093
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Tuombe mungu Zambia waende world cup..hawanaga uzembe uzembe..kama wa Nigeria
sasa kama hawana uzembe uzembekwa nini huwa hawafuzu?
kweli mkuu maviongozi yetu yanatugharimu mno, piga hesabu hizo ni pesa za fifa kuwasapoti wachezaji zimepigwa, je pesa za wedi-benk kusapoti miradi mbalimbali si ndo majanga kabisa?
Utasubiri sana Mkuu labda mpaka mwaka 4050 lol!!!!
Algeria wamebakia matumain yako kidogo nimekuwa supporter tangu tuanze naambulia disappointment tu
Yaaani mpaka raisi ianingilia kati kama bongo vile. muntari na boatendg wamesema wakiwa usa kwenye mazoezi walilala kwenye hoteli inavuja istoshe wakapanda ndege mbili tofauti wachezaji na economy class huku viongozi na familia zao wakipanda buzinezi clasi. halafu wakihoji wanatukananwa wakaaamua kuwachenjia.
#TeamAlgeria leo inaweka heshima kubwa mno kwenye mashindano haya ya Dunia kwa kumtoa Germany
[MENTION]everlenk [/MENTION]nakutakia kila-raheri kwa mechi inayofuata.
Ngoja nkalale maana itaniumiza bure na kuntia kichefuchefu maudhi ya mechi ya Nigeria na France yanatosha.
nigeria wamegoma kurudi kwao baada ya kundi la boko haram kujitolea kwenda airpot kuwapokea
Nakuunga mkono, factors zipo kibao zilizochangia timu za kiafrica kushindwa na hilo la marefarii mimi siwezi kuliacha. The sad fact.No, the referee in turn who has made it by retaining his red card in his pocket despite the fact that Matuid had broken
somebody's leg.
African's teams are eliminated by many factors within and not within play grounds.
No, the referee in turn who has made it by retaining his red card in his pocket despite the fact that Matuid had broken
somebody's leg.
African's teams are eliminated by many factors within and not within play grounds.
nigeria wamegoma kurudi kwao baada ya kundi la boko haram kujitolea kwenda airpot kuwapokea
Mosad11 washenzi kama Muhongo na bosi wake wanakubania gesi!!
Nakuunga mkono, factors zipo kibao zilizochangia timu za kiafrica kushindwa na hilo la marefarii mimi siwezi kuliacha. The sad fact.
Well dome wapopo
well done my hero Vincent
poleni #teamnigeria wenzangu, mi nakufa na tai shingoni, sijutii kuwa #teamwapopo , hata kidogo, japo roho inauma