World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Malafyale

Ninakumbuka tangia siku ya kwanza ya mashindano haya wewe unazungumzia jinsi hawa Algeria walivyo wazuri

Leo sasa ndio muda muafaka kwao wathibitishe ubora wao [Kama inawezekana]
 
Last edited by a moderator:
Huu wimbo wa taifa wa Germany una melody ya hymnal fulani inaitwa "glorious things of thee are spoken," na huu wa Algeria beat zake zinapiga kama zile za bendi ya marhumu Father Kanuti enzi zile niko chipukizi ta ta ra raa ra ra pa raa,hapo mnamsalimia mzee "kifimbo" na suti zake za "chonglai" hacheki..kiatu kikiruka juu we ndo unazidisha manjonjo pekupeku,miguu juu,shingo kulia,.halafu sijui tulikuwa tunaweka dole gumba kwenye paji la uso aah!anyway tuwaachie wenyewe akina kapteni Komba!
 
Mkoloni ana kazi leo,najua DEMBA na HOE mnaniona mm kama mwehu kwa kusema haya lkn nawahakikishia Algeria sio team ya kuchezea hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
sasa kama hawana uzembe uzembekwa nini huwa hawafuzu?

Kiwango duni ..but discipline wanayo..mfano mwanafunzi ambae hasomi but ana akili ndo Nigeria.na mwanafunzi ambae akili kidogo but anasoma sana...ndo Zambia...siku Zambia wakipata wachezaji quality ya Nigeria watu watashangaa..
 
Huu wimbo wa taifa wa Germany una melody ya hymnal fulani inaitwa "glorious things of thee are spoken," na huu wa Algeria beat zake zinapiga kama zile za bendi ya marhumu Father Kanuti enzi zile niko chipukizi.

ni kweli nilikuwa nangalia lyrics zake hapa wao wanasifia mvinyo wao
 
MUELLER has 9 goals out of 9 WC GAMES!!! if he scores today he'll be the fastest ever player to reach double figures!! Pele needed 11 games to score 10 goals and Ronaldo de Lima needed 13!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…