palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
kapumzike salama mama ngoja sisi tumalizie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To score a goal it does not mean you good!Giroud huwa mbona anafunga Arsenal?Is he good?
Haya nipo natajia ushindi
Nipe ushauri ni shabikie wapi leo
tupo mkuu #teamaljeria#team algeria mko wapi#
sasa kama hawana uzembe uzembekwa nini huwa hawafuzu?
#team algeria mko wapi#
Huu wimbo wa taifa wa Germany una melody ya hymnal fulani inaitwa "glorious things of thee are spoken," na huu wa Algeria beat zake zinapiga kama zile za bendi ya marhumu Father Kanuti enzi zile niko chipukizi.
Malafyale
Ninakumbuka tangia siku ya kwanza ya mashindano haya wewe unazungumzia jinsi hawa Algeria walivyo wazuri
Leo sasa ndio muda muafaka kwao wathibitishe ubora wao [Kama inawezekana]