Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huyu islam hodar kweli......kuna dalili ya ushindi wa kishindo
Na wamesomea soccer kwenye academies za France,sipati picha wakifika robo fainali,halafu wamfunge France,Ufaransa itanuna maana vijana wamezaliwa na kusomea mpira FranceHawa Algeria ni waafrica wanaoishi ulaya karibia timu nzima wamezaliwa France hata mpira wao sio wakiafrika
Hata mi nimeliona hilo mkuu..
naona mambo ya nigeria yanajirudia hapa
Ahahah ahsante,kuna mamluki humu
Na wamesomea soccer kwenye academies za France,sipati picha wakifika robo fainali,halafu wamfunge France,Ufaransa itanuna maana vijana wamezaliwa na kusomea mpira France
Ngoja baadae Malasovic Klose aingie,ndo watajua sambasoti ni nini?sasa hivi wanapata nafasi za wazi wanazichezeaAlgeria mama yangu,tumieni hizi nafasi jamani!hawa bavarians wakija golini kwenu hawatawakosa hivi!
waarabu naoana wamewasha moto....!!? lakini mwisho wa siku wasije wakawa kama nigeria..
Algeria bado hawaja futuru lkn anashinda leo