World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kipa anajitahidi sana Algeria wawafunge hawa wajinga
 
Saizi hawa waarabu wetu hata wakitolewa wamepigana kiume...anything can happen and I hope it happens in our favor as Africans!
 
Bado hata penalti cizielezei,7bu kwanza hawa aljeria siwafahamu kabisa kweny upigaji,anyway allah will do the rest..
 
Hadi sasa mikeka ya watu imeungua sana lazima uombe poo na hii wedi kapi
 
Makipa wa Nigeria na Algeria wote bomba sana, yule wa Nigeria anachezea moja ya timu Ufaransa sijui huyu wa Algeria anacheza wapi.

kipa wa aljeria ananipa raha
 
Hapa muhimu ni kumaliza mapema na kulinda goli letu. Tuweke Train double decker
 
Mimi sina imani na refa tu,lakini akiwa fair hawa wajerumani wanatoka tu
 
lol!!!! Mchecheto unakusumbua weye, usisahau kuminya nanihii wale Germany wakiwa wanashambulia 🙂🙂

Kochi lina sehemu kubwa ya kukalia lakini nashangaa muda wote nimekaa kwenye kingo zake wakati niko peke yangu,dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…