World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Algeria wangekuwa wanacheza na France sasa hivi, Africa tungesema 2014 Brazil World Cup Africa kuna timu moja imeingia Robo Fainali
 
Bado Algeria wanaweza kushinda hii mechi, wanacheza kwa determination kubwa sana.
 
Iv keshavunja record ya ronaldo de lima kwa idad ya magoli WC?

hapana ana magoli 9 mechi 9 akifunga leo anakuwa mchezaji aliefikisha magoli 10 haraka[mechi 10...pele alitumia mechi 11,ronaldo mechi 13]
 
Back
Top Bottom