Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iv keshavunja record ya ronaldo de lima kwa idad ya magoli WC?
kwani algeria sio waarabu? ni waswahili? unashangaza sana.
kidogo tu Germany tuwatungue hawa waarab. Germany oyeeeeee!
Bado Algeria wanaweza kushinda hii mechi, wanacheza kwa determination kubwa sana.
umeona unavyoanguka wenyewe hawaamini kinachotokeawajerumani bado hawaamini kinachoendelea uwanjani
Iv keshavunja record ya ronaldo de lima kwa idad ya magoli WC?