World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Daaah huyu rais yupo vizuri huu mchezo naona kama unaenda kufanana fanana na ule wa Nigeria wa leo.
 
huyu MUELLER anataka sifa wakati yeye wala si mshambuliaji si acheze namba yake !!!!!!!!!
 
Algeria wamechoka,nahisi mfungo wa Ramadan sasa unafanya kazi yake!!Hapo inabidi kama wataenda dakika 30 za nyongeza wapate"iftari" japo kiduchu
 
Back
Top Bottom