World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pazi

Timu yetu pendwa kesho tutamtoa Mbelgium?
duh hehehe sijanyweshwa Yale maji ila jamaa wale wanaweza kumfunga Belgium wanacheza kwa moyo mmoja wale wamepita Border Mexico kuelekea Brazil Arizona huko California sijui Kansas sijui kabaki nani utaona Kofia za ma cowboys kibao na wakina Uncle Tom.
 
duh hehehe sijanyweshwa Yale maji ila jamaa wale wanaweza kumfunga Belgium wanacheza kwa moyo mmoja wale wamepita Border Mexico kuelekea Brazil Arizona huko California sijui Kansas sijui kabaki nani utaona Kofia za ma cowboys kibao na wakina Uncle Tom.

Dah ila tutashinda tuu kesho Dempsey lazima awakalishe tuu

Ila dada wa BK ataongea sana
 
Babu weye mie team brazil ila leo ndo nkawa mzalendo kusherehekea afrika tena ndo nkanogewa na algeria.....weye kuna siku apa nlikuona unasherehekea team england uongo?

Mimi timu yangu lazima tutacheza Final .... kwahiyo bado tupo bado kwenye mashindano

England nilikuwa ninawashangilia kwa sababu walikuwa wanacheza dhidi ya yule mchezaji ambaye anapenda kung'ata wenzake
 
mkuu, ngoja leo huo 'uchafu' ufagiliwe tubaki na timu zetu zinazojitambua.

Mkuu lugha zako zinakera sana kwa kweli!Algeria siyo"uchafu"ni team nzuri sana hadi Germany wanayoipa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu walisubiri hadi dakika 120!

Tupo pamoja tpaul na hapa tupo kama kijiji tunajadili soka kwa lugha muafaka sana!Karibu jukwaani utakutana na akina rubaman, DonDonald andate Pazi Victoire DEMBA Heaven on Earth juve2012 na wengineo ambao ni wa bishi mno hasa teams zao zikiwa zinaelekea kufungwa ahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pazi unakumbuka hizi post zilikuwa katika thread ya "The Road to the 2014 Fifa World Cup-Brazil"
Naona timu zote zimetoka je umeshapata timu ya kuipigia debe?
Pazi

5th June 2014 17:49
#449 JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 5th March 2011
Posts : 1,852
Rep Power : 844
Likes Received650
Likes Given1120


[h=2]
icon1.png
re: The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil[/h]





hehehe washabiki wakusubiria timu 16 tushawazoea watu wanasubiri kutaja timu watazoshabikia zikibaki 8 sasa hivi utauwa sikia wao Brazil au Spain timu mbili zitastabisha watu ni Belgium na Chile ila Brazil na Argentina wasipoangalia watalala patupu mapema, Yule Dogo number 7 anapiga left wing ya Ecuador anaitwa nani? Jamaa mkali bahati mbaya timu zangu ukitoa zote za Africa Kama kawaida yetu Waafrica ni Italy na England sitobadili wazo. Ila last 8 na Mie nitakuwepo kwenye group nililoliongelea. DonDonald Ox sijui Kama atapona anajilazimisha tu Mie bado sielewi Carrick kwanini hakuchukuliwa Kulia beki akae dogo wa Everton sitaki kumuona GJohnson na tano na nne Wakae Smalling na Cahill Yule Jagielka mchezaji gani?.

rubaman
18th May 2014 11:19
#317 JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 10th September 2011
Posts : 1,429
Rep Power : 830
Likes Received465
Likes Given531


[h=2]
icon1.png
Re: Hili ndilo chama langu FIFA WORLD CUP 2014[/h]
Pazi na DonDonald kama kawaida chama lenu litawaliza. Bora ninayeshabikia timu za Afrika na watoto wa Time Square najua lolote linaweza kutokea sio kama mambo ya hype ya The Sun, Daily Mail mnayoleweshwa kila siku. Baada ya hizo timu kutolewa nitakwenda na Germany labda Belgium. Anyway nadhani Kombe la Dunia la mwaka huu litakuwa na maajabu fulani timu zinazotarajiwa kuwika zitachemsha


Naona kati ya timu zangu zilizobaki ni Germany na Belgium. Nataka Belgium wawaondoe watoto wa New York, New York.​



 
Timu zote nilizokuwa nashabikia zimetoka sasa nitaangalia mpira bila presha.
 
Dah bora nililala kuliko kushuhudia kipigo cha nyani weupe wa afrika kaskazini!
 
Back
Top Bottom