Tayar brazil kimoja
mambo ya supaspot waachie wakwasi sie tubanane tu tbcMmmh dah mbona king'amuzi changu hakina superspot ! Nrushie basi !!
Mpaka sasa croatia wanaongoza 1-0Brazil tandika hao Croatia bao 3-0 finito.
Unafikiri wao walienda kutazama neema za Allah? walienda kubeba ndooHawa croatia vipi tena wanataka kuniharibia usiku mapema hivi....
Itarudishwa hiyo na nyongeza juu...lazima wa Croatia wacheze samba tu
Haya ngoja tuone ila mpaka sasa croatia wanakimbizaBrazil atashinda 3-1
hahahahaHawa croatia vipi tena wanataka kuniharibia usiku mapema hivi....