World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

brzil ziimaini kabisa
sababu wachezaji wake hawana jipya ukimtoa neymar
 
Umeona sasa, Kaseja keshaanza yake! Ivo katundika taulo lake leo. Simba hawafungiki hawa!
Poleni sana, msiombe Simba wakapaki basi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyu mtoto Neymar ana uchu wa Goli balaaa maana kalivyojirushaaaa!!!!
 
Hawa croatia vipi tena wanataka kuniharibia usiku mapema hivi....
 
Back
Top Bottom