everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
huyu shabiki naona anaenda kumpuzishwa sasa
Duh! Kuna watu wana ushabiki sana huyu aliweka lengo kabisa kwmb WC hii lazima afanye kituko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu shabiki naona anaenda kumpuzishwa sasa
Come on Fellaini gonga hawa wala vyura. #TeamManUTD msishangae leo namfagilia flop wenu.
Duh! Huyu shabiki vipi???
lazima liweka nadhiri huyu si bureDuh! Kuna watu wana ushabiki sana huyu aliweka lengo kabisa kwmb WC hii lazima afanye kituko.
Amefanya nn kwani huyo shabiki, wengine hatupo kideoni
Come on Fellaini gonga hawa wala vyura. #TeamManUTD msishangae leo namfagilia flop wenu.
"brazil" lazima wapigwe tu na "colombia" !
Hawa USA naona wanataka kuwapa tabu Uefa! Wajieleze vipi timu zao za Europe Kama wanavyojieleza CAF! Na chama cha mpira cha Asia!
Jamani naombeni link inayoonyesha mpira online
Amefanya nn kwani huyo shabiki, wengine hatupo kideoni