World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Belgium wanaweza kufungwa Extra time ya pili sio Penalt unajuwa timu kubwa ikianza wasiwasi wanafungwa na Nyuma Belgium washaanza uwoga wa kigugumizi.
 
Naona galasa(Vermalean) lingine la Arsenal linalotakiwa na Man utd linasota bench
 
Naona kocha wa Belgium anategemea mechi itakwenda extra time, hajafanya subs zote
 
Tim Howard ndiye anaibeba US

Kabisa mkuu ila US wamepoa mno leo hadi nashangaa.sikutegemea mechi iwe hivi.Belgium wakitolewa hii mechi basi wajilaumu wenyewe kwa ushambuliaji butu.mipira mingi inakwenda kwenye position rahisi kwa golikipa.sijaona killer blows so far labda kile kichwa alichotoa Howard
 
Reactions: BAK
Hawa wamarekani sijuwi hata walinfungaje ghana ni weupe sana nimegundua leo!
 
Naona kocha wa Belgium anategemea mechi itakwenda extra time, hajafanya subs zote
Lukaku na Adinan wamekosa nini? Anawachelewesha Origi apumzike sasa nasikia LFC toka game na Russia walikuwa na mazungumzo na Lille kuhusu Origi 9m then Anarudi Lille on loan.
 
Vicent Kompany is the beast... Anachukuwa mpira taraatibu kama hataki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…