Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Belgium wanaweza kufungwa Extra time ya pili sio Penalt unajuwa timu kubwa ikianza wasiwasi wanafungwa na Nyuma Belgium washaanza uwoga wa kigugumizi.
Tumebanwa mno lol
Tim Howard ndiye anaibeba US
naskia liverpool wapo kwenye mazungumzo nae. ni rumours tu lakinihuyu mtoto Origi muda si mrefu tutasikia timu kubwa zinamfukuzia mpaka sasa kashamfunika Lukaku.
Lukaku na Adinan wamekosa nini? Anawachelewesha Origi apumzike sasa nasikia LFC toka game na Russia walikuwa na mazungumzo na Lille kuhusu Origi 9m then Anarudi Lille on loan.Naona kocha wa Belgium anategemea mechi itakwenda extra time, hajafanya subs zote
Hawa Belgium watanifanya nihame timu muda si mrefu....